McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Mbele ya Lewandowski tumeumaliza mwendo[emoji119]Man U tutatoboa kweli[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]apo urine inahusika
Hivi wanajiskiaje wakiona hizi kejeli.
Siyo kejeli, ni ukweli.Hivi wanajiskiaje wakiona hizi kejeli.
Ubarikiwe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2410088
Maisha haya hayana fomyula aisee. Mungu Amsaidie na kumwongezea tena na tena huyu kijana jasiri!Wanawake waache kudharau kazi,wanaume wanapambanaa, kijana mchongo umetikiView attachment 2410158
Wanangu wa shisha [emoji2][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2410119