McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Asante bro. Ubarikiwe sana! 😁😁
Hahahah[emoji23]Leo tumpumzishe Shimba ya Buyenze
Zamu ya nani leo??
"Wapare na uchoyo" [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2369712
Hahaha[emoji23]Asante bro. Ubarikiwe sana! [emoji16][emoji16]
View attachment 2369725
Ndo unabisha hodi kwa Mpare unakuta kaandaa hivi. Sipati picha yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nilikula pisi moja kali sana ya Kipare vichakani wakati nipo JKT Ruvu. Aurelia wangu sijui alipotelea wapi jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Huo utani wako na wapare utakukosesha vingi [emoji23]
Sasa si ungeishia tu kusema ulimla!? Neno vichakani unataka kukazia nini hapa [emoji2959]Nilikula pisi moja kali sana ya Kipare vichakani wakati nipo JKT Ruvu. Aurelia wangu sijui alipotelea wapi jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yeah...Ivi mmeielewa hii picha kweli[emoji23]View attachment 2368908