Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20220915-233342_1.jpg
 
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;
1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku ya pambano hivyo alikijaribu na kujiridhisha kipo sawa!
Mdau alizidi kusema kitendo cha mwakinyo kusema alichezewa mchezo kwa kupewa kiatu kinachobana ni kashfa kwa bodi ya ngumi Uingereza ambayo ililenga kuichafua taswira ya ngumi nchini humo!
Hivyo mwakinyo kafungiwa kucheza michezo ya ngumi Uingereza kwa mujibu wa kanuni zinazozingatia 'Fair play"

2. Sababu ya pili iliyogundulika ni mazingira ya kuuza mechi! Hili nalo limechangia Mwakinyo afungiwe
3. Sababu ya tatu ni taarifa za kitabibu kutoka maabara ya uwanja wa ndege zilizobaini begi la Mwakinyo halikuwa na vitu vya kawaida kimchezo ambavyo vimetafsiliwa ni ushirikina katika mchezo.
 
#NjeYaSoka : Rapa wa Jamaica, Diamond The Body (@diamondthebodyy) amesema kuwa toka apoteze usichana wake (bikra) ameshakutana kimwili na Wanaume 2000.

Amepoteza bikra yake akiwa na miaka 12, mbali na hivyo amedai kuwa haogopi wala hajali maneno ya watu na kama kuna mwanaume anataka kuwa wa 2001 ajitokeze.

“Ni Mungu pekee ndiye anayeweza kunihukumu" alisema Diamond The Body.

Utakumbuka hivi karibuni zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zisizo na maadili (nusu utupu) akiwa na msanii Burna Boy.

Credit : Koncept TV Online
(Instagram)
FB_IMG_1663527685739.jpg
 
(Instagram)View attachment 2361074
@mzabzab
 
Back
Top Bottom