Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Aisee sasa wapiga puchu sii wana wanyima raha zao
Tekinolojia hii imeanza katika magari mengi mapya. Unaweza kuweka auto na ukafanya shughuli zako huku gari linajiendesha lenyewe. Ndiko dunia inakoelekea huko na miaka michache ijayo vitu vingi vitakuwa ni autonomous...na kazi nyingi zitatokomea!
[emoji16][emoji119]no need for explanation we all grow up
[emoji16][emoji16][emoji16]kizazi chetu hata moto hautufaiNachofikilia nakijua muenyeeeweView attachment 2360111
Ubaharia since kitambo
Kuchukuliwa demu na demu inauma eeeh!?
View attachment 2360785