MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,704
- 150,308
Kuna wavuvi walikuwa wanahojiwa kabla hata hili la makamu halijatokea
Wakakiri ni kweli wanatumia hayo maji,
Tena walisema yanasafirishwa kama maiti ndani ya jeneza,wanajaza kwenye vidumu.