antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,710
- 130,609
Mke na mumewe..
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetu
MKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?
MUME: Bwana eeeeh... wacha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi
MKE: Lazima niulize, maana mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani..
MUME: Umesema nini wewe?
MKE: Bwana eeeeh, wacha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi🙄

