Huyu mjinga kanikumbusha mbali sana,nilikuwa na tabia ya kuchuwa simu ya mama na kupiga namba zisizoeleweka[emoji23]
Wee kumbe sio mshabiki kindaki ndakiLini tumefungwa????
Simba[emoji123]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn kocha huyu katimuliwa au yeye ndiyo kakatisha mkataba kaenda timu nyingine baada ya kugundua ubabaishaji.Ila matola mganga wake bado yuko vizuri sanaaa
Kwamba baba afanye kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo lecturer alikuwa anakula utamu...demu sasa dgree hakuna
Unaweza ukachinja mbuzi mjukuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]