antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,001
- 133,199
Wake zetu zidisheni maombi tunasokotwa kinyama huku uraiani
Hilo nyama mbichi nalimalizia kwa tofali la kichwa
😁
Atakuwa kanunuliwa huyu!Huyu boya naye. Watu wanalalamikia tozo na siyo kodi! [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2346698
Very very true
Mahera ni jipu lililokosa mtumbuaji[emoji16][emoji16][emoji16]...
View attachment 2346710
mawardat Kelsea sophy27 @finacial services Lizzy hii inawahusu kama hamtufungua pm zenu mzabzab atie mguuUkitumiwa message unauliza namba yangu umeipata wapi.
Wengine PM zao wamefunga kabisa.View attachment 2347035
🤣🤣These fake asses are getting out of control. Wanashindilia nyama matakoni wanasahau mapaja. Unakuta vimapaja vyembambaaa hata mzuka hakuna yaani [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2346712
Sababu ni kuwa wamiliki wa mali zenye tija mara nyingi ni waume
Hawa huwa wenza bora sana maana wana uzoefu wa kutosha sana[emoji23]Mabaharia siyo watu [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2347134
Halafu hako kabinti kanakuja kuwa bebi wako kumbe ni kalozi kamemaliza [emoji23]Hekaheka za Mwafrika
View attachment 2347135
🤣🤣🤣
Wanawake wa Dar ni shiiiida🙄
Shost alivutiwa na umbo la jamaa😁
Angekuwa na panga au shoka mkononi wangetii upesi!