antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,670
- 130,545
Aisee..Kama umewahi kusikia Tall mnyama....... ndiyo hawa sasaView attachment 2343415
KweliKwa kweli jamaa wanaiba. Kuzidi hata wakati wa JK aisee. Mpaka mama akaondoke 2030 tutakuwa na mabilionea wengi wa kisiasa
...
Msela anataka akatindue tuu😊
Duuh!
Nafurahi kusikia kwamba watu wameanza kukubali ukweli niliokuwa nausema humu ndani miaka na miaka
Ndio wanaume wanao mchagiza KelseaKama umewahi kusikia Tall mnyama....... ndiyo hawa sasaView attachment 2343415
Stail hiyo ya kujifanya kuchanganyikiwa ndio anayoitumia mnyiramba
Hhaaahaa sitaki kesi mkuu mzabzabKuna ukweli hapa financial services na Kalpana
Kumbe nyie warembo wa simba mna misambwanda🤣🤣🤣🤣Hhaaahaa sitaki kesi mkuu mzabzab
🤣🤣Joti na hasheem thabit View attachment 2343988
Mdada
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna
dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda
kisha kaanzisha mazungumzo:
Jamaa: “Samahani dada, unaitwa Google?”.
Dada: “hapana, kwanini umedhani naitwa
hivyo?”.
Jamaa: “Una kila kitu nnachokitafuta![]()

