Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,377
Kakosana na mpenzi wake
Mkamfanyia figisuHiki kilikuwa kichwa. Alikuwa masihi wa Wakinga huyu. Alikuwa akisimama bungeni moto unawaka...
View attachment 2343323



Ilikuwaje kwani? Bado yuko hai?Mkamfanyia figisu
Alishafariki mwishoni mwa miaka ya 90Ilikuwaje kwani? Bado yuko hai?
Naona yeye na Mwalimu waligongana katika falsafa yao. Na Nyerere alikuwa hapendi watu wenye akili kumzidi au wenye fikra zingine zisizokubaliana na "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti" kwa 100%
Kuna vitu vya ajabu mno
Ooh thank God sipo familiar nae huyoTaavid. Ukiwa unakifahamu na hichi kibinti basi tena...Mbinguni huendi ng'o!
View attachment 2343325

