Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Penzi la kuku​

Penzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao..
Penzi la binadamu dakika nyingiiii hadi saa nzima Lakini mtoto 1 au 2.
Sasa, binadamu na kuku nani JEMBE?!!!
Ukiona jogoo popote wee piga saluti tuu[emoji16]
Shida ya kuku ni moja tuu.. Shimo ni moja lakini
Ndio la mapenzi
Ndio la ngono
Ndio la uzazi
Ndio la haja kubwa
Ndio la haja ndogo...[emoji23]

Ukimuona mtetea mpe salute kubwa sana [emoji173]
 

Mambo 10 ambayo huwezi kufanya:​

1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;
2. Huwezi kuhesabu nywele zako,

3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;
4. Saivi Unajaribu kufanya namba 3
6. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama umbwa[emoji16]
7. Unatabasamu !
8. Umeruka namba 5;
9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.
10. Unatabasamu kwa kuwa umebambwa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimejaribu kupumua
 
Noma sana
1661890951274.jpg
 
Back
Top Bottom