Vipi mkuu karibu nawewe ukae[emoji852][emoji852][emoji852]
Mambo yako hayoMambo ya kudeki marinda kumbe toka zamani tuu
Aise simfahamu namwonaga tu hivi hivi kwenye memes [emoji16]hahah ivi uyo mzee mwenye iyo picha ninan
Wacha uoga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] noma sana, sikai hapo
Waifu matirio!
Kulala uchi wa mnyama madhara yake ndo haya sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama mashine!No comment !!View attachment 2336311
Si ajabu ni Pompeii
Ukute ni mashine ya Kizaramo...
Ngoma droo!