MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili..., mbwa ana matiti nane na haturingii, eboooooo!!!!
2. Kama wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie.
3. Nauli kulipa lazima , Chenji ukikumbuka...
4. Kutapika ndani ya Daladala fain 5000/= , kutoa hewa chafu ,5000/= ,Sasa toa hewa tukujue viti vina alarm...
5.Hatujasema wewe ni Mnene ila Ukikalia SITI mbili Lipia siti mbili, mbona Kiswahili rahisi?!
6. Hio Elfu kumi yako nenda nunua avocado upake alafu uteleze hadi posta , nauli ya daladala ni 550/=.
7. usifungue dirisha ungetaka upepo ungepanda pikipiki...
8. wewe Dada hebu sogea hukooooo, Unaringa nini wakati asubuhi hii umeoga na sabuni ya kuoshea vyombo…