Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning.... Lakini cha ajabu hakutokea kama replica ya Adam kulikuwa na tofauti kidogo kwenye via vya uzazi.. Halafu Adam akamrudi Eva akamgeuza bibi...
www.jamiiforums.com