Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mgeni​

Huyu Mgeni ni shiiiida!
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!
 

Visa vya Madenge​

Baada ya kumaliza form four babaake akamwambia achague zawadi yoyote aipendayo
MADENGE: naomba pesa nikamuoe bibi maana siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake.
BABA: Shenzi kabisa wewe. Yule ni mama yangu mzazi huwezi kumuoa.
MADENGE: Mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi sijasema kitu? Lazima nilipize kisasi ikikuuma muache mama yangu ili kila mtu akae na mamayake[emoji41]
Siamini mtu aliyemaliza form four awe na akili hizo
 
,[emoji1787]View attachment 2314938View attachment 2314940View attachment 2314939View attachment 2314941
FB_IMG_16595283336703724.jpg
 
NOTE: Sio Lyrics Halisia na Wimbo wenyewe.......Wimbo huu ni wakifaransa ulioimbwa na "Vegedream ukienda kwa jina la remenez la coupe a la maison " special kwaajili ya Timu ya Taifa ya Ufaransa kwenye kombe la Dunia 2018 ambapo walifanikiwa kuchukua kombe hilo


 
Back
Top Bottom