shylock
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 796
- 1,338
But kwangu ni vice versa
But kwangu ni vice versa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2293279
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana. Viko barabarani kabisa mpaka freeways unaviona. Ni kawaidaMkuu kigari tudogo kuliko bajaj?! Labda viko special ku move mtu ndani ya compounds kubwa za mahoteli na majumba makubwa ila wabishi ndio wanakuja navyo mpaka main roads[emoji16]
Yani sijawahi kuvielewa kabisa, na mpaka leo huwa nikikutana nacho nabaki nakishangaa tu sasa ndio kubana matumizi ya mafuta au parking zimekuwa za shida mjini[emoji16]Hapana. Viko barabarani kabisa mpaka freeways unaviona. Ni kawaida
The chain..Mlolongo wa michepuko:
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS): Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako…..
BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango): dah! mpenzi, huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi): Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya Serena iko palepale……
Mateso hatari hayo🤔PICHA ya kuvutia ya mvulana wa Mundari. Kabila la [emoji1223] la Sudan Kusini ambapo watu hutumia mkojo wa ng'ombe kuosha nyuso zao na kupaka nywele zao. Wanatumia mkojo huo na majivu kutoka kwenye moto wa kinyesi unaopakwa kwenye ngozi ili kupambana na maambukizi.
View attachment 2292808
Duuh!