Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Wazungu wanaviendesha sana tu....Kweli hatuna magari, lakini vigari vingine jau sanabora niendelee kutembea kwa miguu kuliko kuaibika na hiko kidude kwenye foleni. Hapo hata wanyonge wenzangu wenye IST wananicheka.
Olivia O'lovely.....Nikumbushe jina lake mkuu




Mashujaa wetu wamezeeka. Hata Schwarzenegger naye hoi. Father Time spares no one!Dahh...
Jean-Claude Van Damme.
Huyu mjuba ndio alinifanya ujanani mwangu niwe napiga tizi la kufa mtu ili niwe na bodi kama lake.
Naukubaliana nawe,muda umekwenda kasi sana
Mkuu kigari tudogo kuliko bajaj?! Labda viko special ku move mtu ndani ya compounds kubwa za mahoteli na majumba makubwa ila wabishi ndio wanakuja navyo mpaka main roadsWazungu wanaviendesha sana tu....
