Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1657877136154.jpg
 
Hivi sadaka zinaenda mbinguni, au zinaliwa hapa hapa duniani na wanaume
Zinatoa huduma. Zinajenga majengo. Zinalipa mishahara na chakula cha wachungaji pamoja na magari yao. Zinalipia bili za umeme, maji n.k. Zinatumika kusaidia masikini wenye uhitaji...na zingine zinaliwa na kutapanywa hovyo na wachungaji.
 
Back
Top Bottom