MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,582
Wazazi wa huyu binti kule kijijini sijui kama wamefikiwa na hizi taarifa...
Mashujaa wetu wamezeeka. Hata Schwarzenegger naye hoi. Father Time spares no one!
View attachment 2293285
Na za wanawake tuombe zipi maana ni fill mafilter
Hahahaaa! Huwa unapendaga sana hizi ligi za Me vs Ke. 😅😅Na za wanawake tuombe zipi maana ni fill mafilter
Sasa sie wapenda deki inakuwaje?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2293253
Nyie wanawake ndio mlianzisha ligi ila chakushangaza, tunapeanaga baada ya kumaliza kukandianaHahahaaa! Huwa unapendaga sana hizi ligi za Me vs Ke. 😅😅
Hapo utaamua mwenyewe uombe ya aina gani. Teh teh
Akili zetu zipo matakoni mwetu
Hahahaaa. Lol.Nyie wanawake ndio mlianzisha ligi ila chakushangaza, tunapeanaga baada ya kumaliza kukandiana