antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,003
- 133,202
😂😂
Ubunifu mwingine ni shiiida
😂😂
😂😂😅
Yeye mbona ni kama hana🙄
MkorogoMbagala Rangi Tatu ...
View attachment 2284091
Anafanya mazoeziUlaji gani huu? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2284093
Umemuazima mtu gari unamuona anakuja kwa mguu kinyonge anakuita pembeni muongee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2284017
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2284087
Hatari faya,,,,shida nini hasa?Hata kwenye baadhi ya post zangu kaja na kashfa, ni mvinyo wa kale kwenye chupa mpya
Wewe ulete kashfa halafu tukunyamizie kwasababu ni mshana jr. Wewe ni mtakatifu au?Hata kwenye baadhi ya post zangu kaja na kashfa, ni mvinyo wa kale kwenye chupa mpya
Kwani alikukosea nini??matusi yako wapi hapo? Mwambie mume ajiheshimu kwanza ili na sisi tumuheshimu aache kujiheshimu halafu ategemee positive results never to me we mama mkanye mumeo we dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] keshakuwa mume wangu Mshana Jr uwe shahidi nimeshapewa mume mie. Ila seriously mkuu mimi nadhani una ishu personal na huyu bwana maana kama ni hapa kwenye uzi nipo siku zote sijawahi kuona anamvunjia mtu heshima kwa makusudi. Kama kuna mahali alikukwaza ungesema tu kwa lugha nyepesi matusi hayana tijamatusi yako wapi hapo? Mwambie mume ajiheshimu kwanza ili na sisi tumuheshimu aache kujiheshimu halafu ategemee positive results never to me we mama mkanye mumeo we dada
Was kumpuuza tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] keshakuwa mume wangu Mshana Jr uwe shahidi nimeshapewa mume mie. Ila seriously mkuu mimi nadhani una ishu personal na huyu bwana maana kama ni hapa kwenye uzi nipo siku zote sijawahi kuona anamvunjia mtu heshima kwa makusudi. Kama kuna mahali alikukwaza ungesema tu kwa lugha nyepesi matusi hayana tija
[emoji23][emoji23][emoji23]sio poa,Chezea wake wanne!!
Mume: niandalie mkeka niswali
Mke: dini inasema uswali msikitini
Mume: dini inasema nioe wake wa4
Mke: nikuwekee chumbani au sebuleni?!![emoji4]