Mtaanza kusema tuwatolee mahari walahiSanamu lako binti lijengwe pale raundiabauti ya Nyegezi
View attachment 2278489
Huko mbona parefu sana!Mtaanza kusema tuwatolee mahari walahi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna aliyesema ila inatokea automatikale tu, kwani kuna mtu huwa anashikiwa mtutu?Huko mbona parefu sana!
Kwani ni nani aliyesema lazima nyinyi tu ndo mpewe pesa? Kwa nini? Huwa nashangaa sana!
Muone [emoji51][emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna aliyesema ila inatokea automatikale tu, kwani kuna mtu huwa anashikiwa mtutu?