Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama ulikua huyajui Maajabu ya Tanzania kwenye NGUMI wacha nikufahamishe;-
Tanzania ni nchi yenye Maajabu mengi Sana,
Huenda ikawa inaongoza Kwa Maajabu Duniani,
Sasa leo wacha nikufahamishe kuhusu Maajabu ya Tanzania kwenye ngumi,
Tanzania ndio nchi pekee Duniani ambayo,
Bondia wake wa kimaitaifa anapiga na walevi wa kimaitaifa,
Na kuwadangaya watanzania kuwa anapigana bondia wa kimataifa,
Unaweza kubisha kuhusu hilo lakini huo ndio ukweli,
Kwamba Mfaume Mfaume jana hakupigana na bondia pale,
Pale hakuna bondia pale kuna mlevi tena mgonjwa,
Haiwezekani mtu bondia tena wakiume unarusha ngumi kama mwanamke,
Tena kama hiyo haitoshi round ya kwanza uko hoi,
Na unarusha ngumi ambazo hata inzi ukimpiga hafi,
Huu utaratibu wa kuleta walevi na kutuambia ni bondia ufe na ukome,
Haiwezekani mtu kama huyu unampiga halafu unajisifia umeshinda,
Leteni mabondia wanaoeleweka watakao kuza vipaji vyenu,
Upuuzi huu wa kuleta walevi tena wagonjwa,
Na kuwapiga halafu munajisifia mumeshinda,
Ipo siku mutakutana na mabondia wa kweli hatimae mufie uwanjani.

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara Kutoka Morogoro
FB_IMG_1656751352518.jpg
 
ukiachwa huna deni na mtu. Mimi huwa nikiacha roho inaniuma Sana. Sijajuaga kwanini. Ila nikiachwa nafurahi sbb ni maamuz ya mtu, Mimi cjashrk.
Ok nimekupata. Sasa kuachwa wewe huna deni inamaanisha kuwa pia wewe hupendi ndio maana waona raha kuachwa.
Anyways uzuri umeshaongea ukweli kula wanawake hawapendi
 
Back
Top Bottom