Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nyegere...kachezea za kutosha kutoka kwa nungunungu...
[emoji16][emoji16]Na yale mashuka ya hospitali za rufaa,huwa mnayapataje wakulungwa?View attachment 2278414
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Muone [emoji51][emoji51][emoji51]
Break time. Nilikuwa namfuata ex wangu nyumbani kwao.
Mume mwenzetu hajambo?Eti shemeji hajambo?? Wee kama unanitaka sema bana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mwenyewe hata simjui,,nasubiri ten yangu[emoji2440][emoji2440][emoji2440]Mimi hapa, simjui hata ni nani huyo. Haya elfu kumi yangu nipe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pesa babu pesa[emoji3]Hakupi hela ama?
Yaani amechanjiwa[emoji23]Huo ugonjwa kwake ni ule wa donda ndugu
Imefika[emoji23][emoji23][emoji23]MPE hii zawadiView attachment 2278427
Watu wakiachwa wanatema[emoji91]hatari
Namba 2 ni mjamzito
Ukweli mtupu yaani,sijui ni kwanini??Hapa kama kuna kiukweli fulani...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2278506
Ajambo[emoji23]Mume mwenzetu hajambo?
Duh....lina sura!