Bagoshaa[emoji1550][emoji1550]Msikimbilie tu kusema Wasukuma [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706]
View attachment 2266660View attachment 2266662View attachment 2266663
Kombe limeenda kwa Wanyaki na Wahaya [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1727]Bagoshaa[emoji1550][emoji1550]
[emoji2][emoji2][emoji2] naomba uwe kaka yangu?.Hii ni kweli?
Nimeuza nyanya juzi tu yaani niko vizuri sana. Na unajua Wasukuma tunavyopenda wanawake tipwatipwa weupe...
Plizi sema neno moja tu na roho yangu itapona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Nina dada watatu tu...na sitaki kuongezea mwingine...[emoji2][emoji2][emoji2] naomba uwe kaka yangu?.
[emoji2] mapenzi siyo pesa tu.Nina dada watatu tu...na sitaki kuongezea mwingine...
Kwa nini unataka niwe kaka yako?
Ai swea. Nimeuza tani sita za nyanya juzi tu hapa Misungwi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli tupu....[emoji2] mapenzi siyo pesa tu.
8th wave. Simu inakata chaji sasa hivi..
[emoji16] apo sawa sawa. Kaka linasound vyema kabisa.Kweli tupu....
Niite tu kaka kwa kweli.....[emoji16][emoji16]
Muone [emoji51][emoji51][emoji51][emoji16] apo sawa sawa. Kaka linasound vyema kabisa.