loviesundy
Senior Member
- Dec 21, 2018
- 176
- 533
Kuna mmoja kapoteza sh,200 hapa kwenye mchanga,kawasha hadi tochi na jua linawaka![]()

Kumbe ata hawa wa jf niendelee tuu kuwatomgoza
Kelsea financial services to yeye na mawardat narudi na aina mpya ya mtongozo

Wee naona ulishajitoa...umesema ulishapata tall dark and handsome wako....mie nasubiria kuja kutetema tuu kwenye harusi
Wee naona ulishajitoa...umesema ulishapata tall dark and handsome wako....mie nasubiria kuja kutetema tuu kwenye harusi
nitakupa mualiko tuombeane uhai.Swa nakuja na mawardat tufakamie pilaunitakupa mualiko tuombeane uhai.
Nini kinaendelea hapa?