Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Being broke makes you humble and more creative....You also tend to worship God more....

Za kupotea Mkinga wangu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahaha tafsiri za kufulia zinatofautiana kati ya ntu na ntu, hii ninayoongelea mimi ni ile huna kitu hata kupata mlo mmoja changamoto..hata kama ni maombi vitaombeka tumbo linakwangua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nipo sana tu ngosha wangu, nafurahi kukuona
 
Back
Top Bottom