Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,534
Mnyazi anaangalia watu wake
NneWazee wa hesabu za kichwa kichwa...hapa jibu ni ngapi????
HahahahJ.f. Usiku wa manane
sio kweli mkuu
Shimba natambua ninachopost ujue kaka.. Kuna vituko vya kutengeneza na kuna vituko genuine..! Na kuna vituko vya kutafakarisha na kujifunza Mimi huwa napenda kupost vyoteUtakuja kuharibu uzi wako mwenyewe. Hizi zipelekwe kule zinakopaswa kwenda...