Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,557
....niazime gari,
nitaweka mafuta.....
....niazime gari,
~Ukute umepanga chumba cha uani.
USIKOJOE HAPA. (Anakojolea juu ya tangazo.
Inaonesha aisee!!!Hahahaha....na umekula kavu kavu![]()
Kipoozeo fans tukuje kipande hii.Siwezi kuficha!
View attachment 2200794
Mabaharia wa nchi kavu~Ukute umepanga chumba cha uani.
~Umechelewa kuamka.
~Akinamamaumbea washajipanga uani.
~Unataka kuwahi kazini kwani ndiwe mwenye funguo muhimu za ofisi.
Omba Mungu hali hiyo isikukute!
MmmmmmmhWa kwanza mzabzab View attachment 2234825
Kwa lipi baya niliokufanyia mrembo?Wa kwanza mzabzab View attachment 2234825
Siyo Mtanzania kabisaUnahisi huyu anaweza kuwa anatokea mkoa gani?View attachment 2233163
Hapana. Makeup lazima....Mhe Rais anaficha makunyanzi ya uzee
View attachment 2234827




