Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,143
Tuwape hela sie tunazitoa wapi?
We uliona wapi gauni la mwanamke likawa na mifuko?
Bablai 😂😂 emu jiongeze hapo
Tuwape hela sie tunazitoa wapi?
Mimi ni mjumbe tu... sina makosa...Tuwape hela sie tunazitoa wapi?
We uliona wapi gauni la mwanamke likawa na mifuko?
Bablai 😂😂 emu jiongeze hapo
Kawaambie waliokutuma..Mimi ni mjumbe tu... sina makosa...
Huyo mdada hapo aliyeshika bango...Kawaambie waliokutuma..
I will do that soon...
I’m waiting..I will do that soon...
Wait hapo hapo, usizungushe macho wa ulimu, wala usikatike mauno...I’m waiting..
Usiokoke kwanza🤣🤣🤣Yan kwamba ni heavy sana 🤣🤣
Emu niokoke sasa uanze kusaidiana na Mchungaji
Mimi niliexclude watu wote wa heshima, nikaacha mashost zake na masnichi ambao najua anytime anaweza kugongana nao wakachoma kmbi. Hiyo only share with inaweza kukukutaharukisha usiamini. Ghafla anaomba screenshot za viewers na hapo ni 20hrs agoLegend we do Only share with…..
😂😂😂😂😂Usiokoke kwanza🤣🤣🤣
We got a long way to go my furendi, i can't hando it myself yunooo😂
Aombe screenshot? Uzwazwa huo 🤣Mimi niliexclude watu wote wa heshima, nikaacha mashost zake na masnichi ambao najua anytime anaweza kugongana nao wakachoma kmbi. Hiyo only share with inaweza kukukutaharukisha usiamini. Ghafla anaomba screenshot za viewers na hapo ni 20hrs ago