Naomba screenshot ya status viewers wako, nipo tayari uniseme...Aombe screenshot? Uzwazwa huo 🤣
Nitamchamba 🙈
Mwaliko mtausikia redioni[emoji2]Haka kenyewe hakawezi kutunyima mwaliko. Kamanda ndiyo kabisa; atstupa na nafasi ya kutoa ushauri nasaha[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimerudi mbona. Labda hizo sura[emoji3][emoji3]Natamani hizi fasheni zirudiView attachment 2233825
Babu napenda uporo[emoji23],Kuku watakula pumbaKwenda zako huko.
Hakuna chakula kitamu kama kiporo cha wali na chai kavu uwiii [emoji39][emoji39][emoji39]
Shauri yako[emoji23][emoji23]Supa dupa yutong inapokuambia eti imeungua. Mi huwa siamini kabisa [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2233595
Chizi hiloPunguza ukali wa maneno....
😂😂 vitamin M iko iko kwa mbaliii
.....wanaliwa,