Nyama ya soup sharti iwe na mifupa 😜😜Wakenya jamani 🤣🤣
View attachment 2225432
Wow 🤩 🤩
Wenye mifupa sasa ndio kama hivyo tuna semwa 🤣🤣Nyama ya soup sharti iwe na mifupa 😜😜
Wanajifariji tu wale ni vile hawana ile dowry 🤣🤣Wenye mifupa sasa ndio kama hivyo tuna semwa 🤣🤣
Naitoaforgive bt never forgetView attachment 2225525
Ila living room naweza nikavumilia 🤣🤣forgive bt never forgetView attachment 2225525
Unavumilia mkiwa alone… ila kama ni zile nyumba wageni daily jibu la awali litake place.Yan kila mtu anaeingia anaona![]()
Pia hyo sidhan kama kutakua na aman, ukisema tu kitu ananza kuangalia Pic ndo akujbu(akufukuzae akwambii toka)Unavumilia mkiwa alone… ila kama ni zile nyumba wageni daily jibu la awali litake place.
Natoa na hiyo ndoa ife