😂😂😂😂😂sitaki kukumbukaSauti kama mtoto mchanga... Kusudi sana aisee...
Flight mode inapanguliwa tu...
Makusudi sana aisee... manane ya usiku unanibania sauti...😂😂😂😂😂sitaki kukumbuka
Eti usinibanie sauti
Khaaaaaa
Na sasa subiri 🤣Makusudi sana aisee... manane ya usiku unanibania sauti...
Hua sidanganyiki wala kushawishika...Na sasa subiri 🤣
Ulidanganyika… na ndio maana ukanishushuaHua sidanganyiki wala kushawishika...
Ndivyo ulivyo? Khaa!! Siyo kwa sauti hiyo ya usiku...Ulidanganyika… na ndio maana ukanishushua
Wakati mimi ndivyo nilivyo 😎😎
Kanipa akili mpya huyu
