Behat
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 602
- 2,179
Naona na ww ni last born. Si kwa cheko hili aisee![]()




Mzee mim mdigo nimechange tu jina







au sioIla seriously, mapiramidi haya yalijengwaje? Mawe ya mpaka tani 50 kuyapandisha juu mpaka ghorofa ya 80 huko juu. Kwa kamba tu na rollers? Na yalichongwa kwa visu, kerezo na nyundo? Kuna kitu tumefichwa!
View attachment 2223668