Vijana wa hovyo watafikiri mambo ya hovyo hata hapa. Hili taifa hili yaani basi tu!
View attachment 2224946
Screenshot_20220515-063139.jpg
 
Imekaa vibaya..MAKUZI ni kichocheo cha mazuri na mabayaView attachment 2224945
Wamekaba kila kona. Kuanzia kwenye katuni za watoto, movies na kila show mpaka hapa JF mnawaweka. Hakuna pa kukimbilia...

Na hakuna cha makuzi wala nini. Sasa hivi imegeuka na kuwa fasheni kwa sababu ndiyo mtindo wa maisha wa macelebrity na matajiri. Ni ajenda ya dunia kuiangamiza familia as we know it...na bila familia imara hakuna kitu...na wameshinda.

Imagine mtu anaona fahari kwa vile anafira/anafirwa. Let that sink in...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom