Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,935
- 124,023
Khaa binadamu sio watu wazuriKuna mtu tena humu humu sikumbuki uzi ila alisema kuwa jamaa wamevutia kitu ndani...halafu akafuta ile comment. Mi nikajua tayari mabaharia wameshafanya yao....
Khaa binadamu sio watu wazuriKuna mtu tena humu humu sikumbuki uzi ila alisema kuwa jamaa wamevutia kitu ndani...halafu akafuta ile comment. Mi nikajua tayari mabaharia wameshafanya yao....
Abarikiwe kuongezea uchawi! MweehBarikiwa
Mimi mtu akinitania mara moja fresh ila akinitania mara ya pili na ya tatu kuhusu kitu kilekile panachimbikaKumtania mtu kwa jambo la kweli ni utani au kumwambia ukweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba umeongeza mileage tuu🤣🤣🤣🤣
Maisha ni kupanda na kushuka..........lazima uende nayo usikubali kushindwaKitu cha maana kwa wese la kidebe?
Udhalilishaji huo.
Aiseee.....Balaa zitooView attachment 2223480
Nimeachwa na bwana niliempenda kweli[emoji16][emoji16] kwa nini nisilieKwamba umeongeza mileage tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inawezekana hukumwambia , ulikuwa unataka uone kama anakupenda kweli nayeye akaona unazingua kumbe kimoyomoyo umezimika......msifanye mambo mengi......ai lavu yuu jibu ailavu Yu tuu.....Nimeachwa na bwana niliempenda kweli[emoji16][emoji16] kwa nini nisilie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasemea bwana ambae tulikua kwenye mahusiano tayari alafu nikapigwa chini wakati namuhitaji bado kilio kitahusika [emoji23]Inawezekana hukumwambia , ulikuwa unataka uone kama anakupenda kweli nayeye akaona unazingua kumbe kimoyomoyo umezimika......msifanye mambo mengi......ai lavu yuu jibu ailavu Yu tuu.....
Huo mtihani kama mitihani mingine.........Nasemea bwana ambae tulikua kwenye mahusiano tayari alafu nikapigwa chini wakati namuhitaji bado kilio kitahusika [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli inanikwaza sana.........
Ukute ni wa Waziri wa Maji
Ajali noma sana,unajiuliza ilifikaje hapo
Dah pole sana....ndio umepata funzo upende unapo pendwaNimeachwa na bwana niliempenda kweli[emoji16][emoji16] kwa nini nisilie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi mapenzi huwa yanaisha hata kama wote mlipendana sana.Dah pole sana....ndio umepata funzo upende unapo pendwa