Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1652469731227.jpg
 
Leo Behat hulali...

Kuna limtu linakukodolea hapo kodo! [emoji16][emoji16]

Usiku wa manane. Ni muda wa hatari. Vifo vingi hutokea muda huu Zirairi akizunguka huku na huko duniani kuvuna roho. Hata heart attacks nyingi ndo mida yake hii.

Ukiamka muda huu inashauriwa sana kusali!
 
Asante Mzee,ndo hufanyaga hvyo nikistukaga
 
Leo Behat hulali...

Kuna limtu linakukodolea hapo kodo! [emoji16][emoji16]

Usiku wa manane. Ni muda wa hatari. Vifo vingi hutokea muda huu Zirairi akizunguka huku na huko duniani kuvuna roho. Hata heart attacks nyingi ndo mida yake hii.

Ukiamka muda huu inashauriwa sana kusali!
Sawa mtumishi. Nitaanza kesho kama iziraeli hajatembelea kwa nyumba yangu.
 
Ukiongezea na uchawi wa Gasuma nakwambia ni hatari sana.

Piga sala ya ulinzi na omba damu ya Yesu ikae katika lango la nyumba yako na moyo wako. Ziraili atafika hapo na atapaona pa moto atapakimbia Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom