Aiseeh mbona tutauana
Sanaa na usaniimke wa mtu SUMU,muwe mnaelewaView attachment 2222997
Wageni sio watu wazuri hahahahah
Nimeiona hii hata kabla sijaangalia aliyeiweka automatically tu nikajua ni wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Picha kwangu haijafunguka mkuu
Mazingaombwe tu sawasawa tu na Gwajiboi anapofufua wafu au misukule[emoji16][emoji16][emoji16]mke wa mtu SUMU,muwe mnaelewaView attachment 2222997