Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
,[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Atakuwa wa MwakaleliWanyaki hovyooooo!
View attachment 2223338
Mbeya moja hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
#KuchapiwaHakuepukikiMungu akusaidieView attachment 2223299
[emoji16][emoji16]Wanyaki hovyooooo!
View attachment 2223338
Kwani watu wa Geita wanashida gani?🤣
Tatizo alikuwa ni mwendazake bila shaka. Sasa hayupo kila kitu kiko vizuri. Tushindwe wenyewe tu Watanzania kuendelea [emoji122][emoji122][emoji122]
Umepotelea wapi?[emoji16][emoji16][emoji16] sio vizuri
Kwa nini mnamdanganya kijana wa watu. Ngoma bado mbichi kabisa![emoji16][emoji16][emoji16] mbona unamkatisha mtu tamaa Ngosha tabia hiyo umeianza lini?
Huyu naye bangi sana...........Rais Mseveni ana miaka 36 madarakani.......halafu analeta maneno ya kitoto hivi