Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Ndiyo
Dah..[emoji848][emoji25] umenipa hukumu kubwa sana mzee[emoji1545][emoji1545][emoji2827]Nimeiona hii hata kabla sijaangalia aliyeiweka automatically tu nikajua ni wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Twendeni tukale ubwabwa wa Mzee Hashim Lungwe huku tukisukumizia na asali ya Mama Samia. Maisha safii na bora kwa Watanzania wote !!!