Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu hicho nacho kipaji si kila mtu anacho
Haaaaah Mimi ata kwenye issue ya kubargain sijui haaaaah siwezi mfano Sjui bodaboda twende sehemu sh ngp buku 5 nikiona kubwa nasema poa nenda haaaaah naachia tusi au nikimbembeleza naharibu natukana

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Yeboyebo
IMG-20220323-WA0000.jpg
 
Binti Anasimulia:

Alikuja alieniposa (Mchumba) na nikakaa Mimi na yeye tuu, akaingia Mamangu akaweka juu ya Meza juice na Pizza, Kisha akatoka kwenda kumaliza kazi za Nyumbani akatuacha sisi peke yetu..

Akachukuwa kipande kimoja Cha Pizza Akala, nikamuuliza "vipi pizza umeipenda?
Akasema: Ndio tamu Sana..

Nikamwambia "Nimeitengeza Kwa mkono wangu (Nilimwambia hivyo ndio anipende Sana na asikimbie kutoka Kwa mkononi mwangu)

Akaanza kusifu Chakula na kunishukuru na kusifu uhodari wa upishi wangu..

Alipoondoka nilienda Kwa Mamangu na kumuuliza " Ile Pizza imetoka wapi ni tamu Sana??
Mama akasema "*Mchumba wako Ndie alikuja nayo
Yaani hapo jamaa hana cha kumsababisha arudi huo mji maana Mvhumba ni tapeli tapeli mzoefu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hivi kumbe hujuagi kuwa mimi ni last born kumbe ningejua ningekaa kimya.
Mimi kuzira sinaga ila tatizo langu ni kuwa sijuagi kubembeleza [emoji1787][emoji1787]
Aisee nilikuwa sijui kuwa ni last born. Uliwezaje kuwa ngangari hivyo wakati ni last born?

Mara moja moja lakini mbembeleze hubby wako hasa kama unajua ni last born. Yaani utakakamata mpaka basi [emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu tuachieni tuyachape makofi
La kwangu ukiligusa tu mtiti wake si wa dunia hii...

Ya kwenu ndiyo yameumbwa maalum kuchapwa vikofi vya kubaraguza. Ni malaini, yanatimbwilika na kumeng'enyulika. Sasa unagusa tako la mwanaume nje ya mchezo ili iweje? Ukinaswa kofi utalaumu?
 
Aisee nilikuwa sijui kuwa ni last born. Uliwezaje kuwa ngangari hivyo wakati ni last born?

Mara moja moja lakini mbembeleze hubby wako hasa kama unajua ni last born. Yaani utakakamata mpaka basi [emoji16]
Nadhani kwa sababu sijalelewa na wazazi.
Hicho kipaji nimenyimwa walahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja niende twisheni
 
Back
Top Bottom