Majibu ni mengi[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2160505
Mbinguni mtafika mmechoka sanaMajibu ni mengi
1.Naumwa njoo unione angalau nipate nafuu nikikuona
2.njoo unisalimie nimekumiss
3.njoo uchukue zawadi zako nilizokununulia kama surprise
Na mengineyo
[emoji16][emoji23] acha basi
Hivi na wewe kwani ni last born? Basi tumtafute tu Abiudi Misholi atufungishe ndoa ...Kwa mfano mimi na Ngosha ze don tukioana huu ndio utakuwa muonekano wa chumba chetu
Hakuna ugali hapo! [emoji16][emoji16]
Shida kubwa itakuwa kununa na kuzira.