Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20220322_185727_447.jpg
 
Binti Anasimulia:

Alikuja alieniposa (Mchumba) na nikakaa Mimi na yeye tuu, akaingia Mamangu akaweka juu ya Meza juice na Pizza, Kisha akatoka kwenda kumaliza kazi za Nyumbani akatuacha sisi peke yetu..

Akachukuwa kipande kimoja Cha Pizza Akala, nikamuuliza "vipi pizza umeipenda?
Akasema: Ndio tamu Sana..

Nikamwambia "Nimeitengeza Kwa mkono wangu (Nilimwambia hivyo ndio anipende Sana na asikimbie kutoka Kwa mkononi mwangu)

Akaanza kusifu Chakula na kunishukuru na kusifu uhodari wa upishi wangu..

Alipoondoka nilienda Kwa Mamangu na kumuuliza " Ile Pizza imetoka wapi ni tamu Sana??
Mama akasema "*Mchumba wako Ndie alikuja nayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu kaumbuka

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi na wewe kwani ni last born? Basi tumtafute tu Abiudi Misholi atufungishe ndoa ...

Shida kubwa itakuwa kununa na kuzira. Usafi mi nauweza....Nitakunyorosha!
[emoji16][emoji16][emoji16] hivi kumbe hujuagi kuwa mimi ni last born kumbe ningejua ningekaa kimya.
Mimi kuzira sinaga ila tatizo langu ni kuwa sijuagi kubembeleza [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hivi kumbe hujuagi kuwa mimi ni last born kumbe ningejua ningekaa kimya.
Mimi kuzira sinaga ila tatizo langu ni kuwa sijuagi kubembeleza [emoji1787][emoji1787]
Haaaaah mm last born hapa kwenye kumbembeleza siwezi kila siku napokea za mbavu kisa kumbembeleza

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom