Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aiseeeh hii tabia imenishinda kuivumilia....

Halafu nina bahati nao... sijui niseme mbayaaa....

Hao last borns, the only boys na the only child...khaaaa!!!??

Nilikiwa nanuniwa hadi najisahau kama niko kwenye mahusiano...

Nimeshindwa mimi

Nimegivu apu mimi....

Nilikjwa najikuta muda wote mimi ndo najibaraguza vile siwezi kaa bila kuongea...

Raha sana kuwa singo .
Hatukuumbwa kuwa single. Tunahitaji wapendwa katika maisha yetu. Tunahitaji kupenda na kupendwa. Siyo mpango wa Mungu kuwa tuwe single labda ni kwa sababu na kusudi maalum tu!

Usiyakatie tamaa mapenzi!
 
Binti Anasimulia:

Alikuja alieniposa (Mchumba) na nikakaa Mimi na yeye tuu, akaingia Mamangu akaweka juu ya Meza juice na Pizza, Kisha akatoka kwenda kumaliza kazi za Nyumbani akatuacha sisi peke yetu..

Akachukuwa kipande kimoja Cha Pizza Akala, nikamuuliza "vipi pizza umeipenda?
Akasema: Ndio tamu Sana..

Nikamwambia "Nimeitengeza Kwa mkono wangu (Nilimwambia hivyo ndio anipende Sana na asikimbie kutoka Kwa mkononi mwangu)

Akaanza kusifu Chakula na kunishukuru na kusifu uhodari wa upishi wangu..

Alipoondoka nilienda Kwa Mamangu na kumuuliza " Ile Pizza imetoka wapi ni tamu Sana??
Mama akasema "*Mchumba wako Ndie alikuja nayo
 
Inafikirisha.
Gharama ya hako kafilamu ni karibu USD three million. That's too expensive. Zipo movies nyingi za maana za Hollywood ambazo budget yake ni less than USD 500k.
IMG-20220323-WA0017.jpg
 
Hatukuumbwa kuwa single. Tunahitaji wapendwa katika maisha yetu. Tunahitaji kupenda na kupendwa. Siyo mpango wa Mungu kuwa tuwe single labda ni kwa sababu na kusudi maalum tu!

Usiyakatie tamaa mapenzi!

Mapenzi na Kasinde ni chanda na pete

Hatuachani hadi kifo...

Haikatwi tamaa hapaa, just playing on and off...
 
Back
Top Bottom