Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji15][emoji3064][emoji3][emoji15][emoji3064][emoji3] Naomba mawasiliano
 
IMG_20220225_075810.jpg
 
[emoji16][emoji16] kipindi tupo shule kuna siku tulikuwa na kikao na headmaster akawa analalamika kuhusu utoro, kuna dogo mmoja alikuwa mkorofi sana mwalimu palepale akamlipua "nawew ***** hivi unajua baba ako ameomba kuleta magunia ya mahindi kama sehemu ya ada?! Sasa we endelea kucheza"
[emoji16]Yani ilo dongo likikufikia ni balaa. Unaweza kuchekwa na wanaokuzunguka pale pale
 
ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI;
1[emoji3448] Kulinda mwili zidi ya magonjwa ya Moto.
2[emoji3448] Hupunguza msongo wa mawazo.
3[emoji3448]Kufanya mapenzi kuneta urembo kwa mwanamke [emoji137].
4.[emoji3448]Huongeza uwezo wa kunusa.
5[emoji3448] Hupunguza uzito na kufanya mtu kuwa na afya njema.
6[emoji3448]Huongeza Hali yakujiamini.

HIZO NI BAADHI TU ZIPO NYINGI SANA.
NB;[emoji3448]JITAHIDI ANGALAU KWA MWEZI MALA MOJA KWA WALE WENYE WAPENZI[emoji3448]
 
Back
Top Bottom