Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

fbfd5c3114832df373d6ea748647f87a.jpg


Mabinti Wa kibongo noma sana.. Baada ya kusikia kuna mamilion toka urusi wameanza kumsogezea huduma karibu Mzee shika[emoji23] [emoji23]
sema nini Mgirik wametokelezea
 
ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI;
1[emoji3448] Kulinda mwili zidi ya magonjwa ya Moto.
2[emoji3448] Hupunguza msongo wa mawazo.
3[emoji3448]Kufanya mapenzi kuneta urembo kwa mwanamke [emoji137].
4.[emoji3448]Huongeza uwezo wa kunusa.
5[emoji3448] Hupunguza uzito na kufanya mtu kuwa na afya njema.
6[emoji3448]Huongeza Hali yakujiamini.

HIZO NI BAADHI TU ZIPO NYINGI SANA.
NB;[emoji3448]JITAHIDI ANGALAU KWA MWEZI MALA MOJA KWA WALE WENYE WAPENZI[emoji3448]
Tulio singo haituhusu 😎
 
Back
Top Bottom