Me s wakishua lkn slagi ukoko, ilikuwa hiv-:
Kipind npo mdgo nlipenda sana ukoko, kias kwamba n bora nkose wali lkn ukoko nile. Mpk sku nlipokula ukoko wa mama yangu mdgo(mke wa mdogo wake baba) alioubakisha aje kula usku, hii sku stakaa nisahau maaan nlichapwa jaman looh! Ningekufa ile sku.
N ukoko tu lkn ulinitokea puani, maana nliula bila kupewa kisha nkakataa kuwa nmekula. Taarfa ikafka kwa mzee Massawe jaman nilichapwaa




.
Tangu sku hiyo skuwah kula ukoko tena, na katu siutamani. N miaka ming imepita huwa namkumbushaga baba, tunabaki tu kucheka lkn nlichapwa haswaaaa. Lkn ilinisaidia kama kitu sjapewa kamwe sgusi mpk uzee wangu huu.