Kwa wenye akili tu Enzi Hizo MakosaTop ya vituko mitandaoniView attachment 2129542
Wakenya nao kiherehere cha nini? Kabomu kamoja tu wanachutama. Vita vya wakubwa hii. Wao wakae tu na kujiona wababe wa Afrika Mashariki huku japo hata Kagame tu sijui kama watamuweza [emoji16][emoji16][emoji16]
Simu ni janga la mahusiano!
#KuchapiwaHakuepukiki
Yup waambie ukweli hawa wafrika wajinga
Sasa unashikwa na nini? [emoji2]
[emoji2960]View attachment 2130058
Ndio ushua wenyewe huo, ungekufa je?
[emoji16] View attachment 2130136
Tafiti za wazungu hizi watafiti wawe wanaziacha huko huko [emoji16]Wale masingo shauri zenu.
Anyway usikute demu au mke ana gubu [emoji23][emoji23]
View attachment 2130192
Hamna lolote...ni kwamba tuu wana hela maana bila hela mke au demu utamiliki kwenye ndoto tuu
Wakishua nyie huwa hamtabiriki[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ningekufa kisa ukoko jamn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]