Mzunguko wenyewe anaozungumzia ni wa kupata hela ya kula sahani la biriani kila ijumaa



Maana ake huachi kitu, hata paka wanaolambalamba mifupa watalala njaa siku hiyo!I 'normally' stop at 7View attachment 2122082
Nina jamaa angu hapendi kabisa kusikia habari za kufanya kazi huko sijui ndio urabuni, dubai etc anakwambia wana michezo michafu mno ukikaa vibaya wanakuomba hadi jicho

