Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Kuwa mpole hatafutwi na jeshi la polisi bali na mahakama na anatakiwa apewe samansi(summons) aisaini.. Muda ukipita hajafanya hivyo itatoka oda ya kumtia nguvuni[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2121881
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli aiseeKUJENGA NYUMBA NI RAHISI SANA MWANZON
-Mchanga
-Kokoto
-Tofali
-Nondo
[emoji469] SASA NGOJA IANZE KUONGEA ENGLISH UONE SHUGHULI YAKE
-Plaster
-Gypsum
-Grill
-Tiles
-Blandering
-Skimming
-Painting
-wiring
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sio kweli! Haikufungwa goli 13 wala 12Kizazi cha Messi hamuijui hii,
Mwaka 1974 Zaire ambayo ni congo ya sasa wakati huo ikiongozwa na raisi dikiteta Mobeto seseko kuku ilipeleka wachawi 40 kwenye michuano ya kombe la gunia huko ujeruman magharibi ili iweze kutwaa kombe hilo lakin badala yake mechi ya ufunguz dhid ya ujeruman ilipigwa 9-0 mechi ya pili dhid ya brazil ikapigwa 13-0 na mechi ya mwisho ikapigwa 12-1 na ubeligiji.View attachment 2121720
KUJENGA NYUMBA NI RAHISI SANA MWANZON
-Mchanga
-Kokoto
-Tofali
-Nondo
[emoji469] SASA NGOJA IANZE KUONGEA ENGLISH UONE SHUGHULI YAKE
-Plaster
-Gypsum
-Grill
-Tiles
-Blandering
-Skimming
-Painting
-wiring
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa, weka matokeo ya zile mechi ilizocheza siyo kubisha tuu kama.......Sio kweli! Haikufungwa goli 13 wala 12