Atakuwa aliwaadhibu wachawi.Mobutu atakuwa aliwapa adhabu gani?! Maana naamini hakuwaacha hivihivi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilisoma mahali aliwaadhibu wachezaji wake wakaishia kwenye umaskini wa kufa mtu na akaacha kabisa kuwekeza kwenye mpira[emoji16][emoji16]Atakuwa aliwaadhibu wachawi.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hii gari ya temeke tu[emoji16][emoji16]View attachment 2122306
Alafu wapo wanawake wanasema mwanamke tabia🤣🤣🤣🤣🤣